iAMINIEL PRODUCTION MUSIC
yeleeeeeee
iyeleeee
mamaweeee
Yewoomiiiio
yewooomiioooi ruwaaaa kamkundaaaaaa
Kwa mahabuba wangu, mpenzi wangu ninayempenda, tumekamilika tukiwa pamoja. Asante kwa kugawa maisha yako na mimi.
Natamani niwe kitu cha kwanza ambacho unafikiria pindi unapoamka, mpenzi wangu.LUSIA UISO
Itakuwa fahari yangu iwapo nitakuwa mtu wa mwisho kumfirikia kabla hujaenda kulala.
Una uwezo wa kumwilika maisha yangu kama vile unavyonifanyia kila siku. Nakupenda.LULU
Unafanya dunia yangu kuzunguka na kuzunguka kila siku. Sijui nitafanya nini bila wewe.
Mpenzi wangu nakuhitaji kama vile moyo wangu unavyohitaji kudunda.
APAAAAAA WOMIIIIIII YUUUUUUI LUSIA
MNDUMII KAMKUNDAAAA NGAKUNDA SANAA
Siamini wanaposema kuwa kuna kitu kinachoitwa kupenda kwa kuona mara ya kwanza kwa sababu kila nikikuona nakupenda zaidi na zaidi.
Kama mimi AMINIEL mfalme katika himaya yangu, basi himaya yangu haiwezi kukamilika kama wewe hautakuwa kando yangu kama malkia. LULU
Kama ningepewa nguvu za kuweza kurudisha kumbukumbu za awali, basi ningerudisha hadi ile siku ya kwanza nilipokuangalia machoni na nikakuangukia kwa kukupenda. TEGETA SKASKA Nakupenda mpenzi wangu.
Hata kama nimeshindwa kuwa chozi lako, na pia kushindwa kuwa tabasamu lako, lakini kwako umefaulu kuwa hewa yangu ambayo inanifanya kuwa hai kila siku.
Nataka kuwa hewa ambayo inakuzunguka kila mahali. Nataka nisitambulike lakini niwe na umuhimu zaidi kwako. Nakupenda.
Kuna mamilioni ya watu hapa ulimwenguni lakini wewe ndie nilikuona kuwa unanikamilisha.LUSIA UISOO
Wewe ni kipisi ambacho nimekuwa nikikitafuta kukamilisha jedwali ambalo ni mimi.AMINIEL
Mpenzi wangu, LULU wewe unanikamilisha kama vile ambavyo kachumbari hukamilisha pilau.
Wewe ni fleva katika maisha yangu. Sitaki maisha yangu yakose ladha tena, nataka ubaki na mimi mpenzi wangu.
Nataka kufungua macho yangu na kuangalia uso wako mrembo kila asubuhi ninapoamka. Nitakuwa mtu mwenye bahati zaidi hapa ulimwenguni.
Kama ningepewa uwezo wa kuondoa kitu hapa duniani, basi ningeondoa umbali kati yetu.TEGETA HADI UBUNGO Nakumiss sana mpenzi wangu.
Maisha ni mafupi so tuvunje sheria pale tunapohitaji. Napo ni tuishi kikamilivu na tupende daima.
Sikuwa najua kwanini haswa mtu anaweza kumuangalia mwingine na kutabasamu bila sababu zozote hadi ule wakati nilipokutana na wewe. Nataka uwe wangu.LUSIANA
Mapenzi si kitu ambacho kinaeleweka, wala pia si kitu unachokihisi, huwezi kukipokea wala kupeana, mapenzi huja tu. Ndio maana nimejikuta nimekupenda mpenzi wangu.
Mmmmmmm JOY IS COMING tomorrow
AMINIEL IT AND TECHNOLOGY FOR TANZANIA