Yeah
Ni sparks
Kamukuywa number one
10 over 10
Hai hitaji hizo ma filter
Nataka twende date baby
Tupige ma picha
Kwa status nakupost
Wakuone siwezi kuficha
Uko free kunikoll
Anytime me nitashika
Na sitaki ulie
Ukiwa na shida we niambie
Na reason me hukua happy
Ni ku kuona ukiwa bie
You made a good choice
So kwanini ujutie
Na promise ku kua mtru
Lazima ufurahie
Ma hetars watabonga
Bonga na tutasonga
Lazima itawachoma
Ikibidi watakonda
Roho zao za kisheto
Wakituona eti watabonda
[Verse 2]
Baby ukinipigia,
Moyo wangu unawaka,
Ukiwa mbali na mimi,
Nafsi yangu inakutaka.
Umenifanya niamini,
Mapenzi bado yapo,
Kila siku nikikuona,
Nacheka bila sababu.
Sijali watu watasema,
Wao waonge, sisi twende,
Mimi nikiwa na wewe,
Najisikia niko heaven.
Ukinishika mkono,
Najua niko sehemu,
Na kama ni ndoto baby,
Sitaki niamke leo.
[Pre-Chorus 2]
Wacha waonge, waonge,
Sisi tutapendana,
Wacha waone, waone,
Mapenzi yetu yatanoga.
Mimi na wewe baby,
Tumeandikiwa pamoja,
Na nikikupata leo,
Sitakuacha tena.
[Chorus]
Wako wako,
Wako wako,
Ni mimi tu na wewe,
Mpaka mwisho.
Napenda kila kitu chako,
Kitu chako,
Shape mpaka mboni zako,
Wewe…
Nategea TU kichele
Nikuspoli kama donga
I promise me ndo
Wako wako
Wako wako
Ni mm TU na wewe
Mbaka mwisho
Napenda kila kitu chako
Kitu chako
Shep mbaka mboni zako we