Mmmmmh naitwa kingon MUZIQ
Hello mama hallo ma
Hali vipi nyumbani kwa kina kingon
Nipo salama ata usijali manaa napambana kutafuta
Mambo magumu lakini tunateseka kusaka hela
Nashukuru mungu amenisimamia
Home ndakam na doo
Home ndakam na range
Ndakam nijenge nyumba nzuri mama
Niombe niombe
Niombe niombe mama
Niombe mama
Uuuuuu yeyeye
Mama ma'am mama kingon
Ulinijua jina pasipo yeyote kunijua mama
Ulinilisha ukiwa wa Kwanza mama
Uliniogesha ulinivisha ukanipanguza ukanifunza na kutembea
Home ndakam na doo
Home ndakam na range
Ndakam nijenge nyumba nzuri mama
Niombe mama
Niombe niombe mama
Niombeeeeeh
Mama mamama
Oooooh mama i love mama