verse 1
umejua kunizalilishaaaaa wallah...
kwenye maisha yangu wewe aufai...
sura umenikasirishaaaa una frai..
mbele ya mashoga zako ukaniona me kalai..
sasa ni kipiiiiiii kilicho kushawishi...iii
mbona vitu vingi kwangu ulikua unapata...
sasa ni kipi kilicho kulaghai mamy....iii
mbona nilikua najituma...darling..
kweli mapenzi ni upofu, na kwangu ayanifai..
Kweli wao ni jembe, sawa shuka wamnyang'anye masai...
sio hivyo tu, bali ulikuwa uwakatai..
na ndo maana ata mapenzi kwangu ulikuaga uyadai..
chorus
umeniumizaaaa....(sawa...sawa)
umeniliza...( sawa....sawa)
umeniumizaaaa...(sawa...sawa)
umenilizaaaa...(sawa...sawa)
verse 2
palipo na matesooo....oooh
daima mbele itakua furaha...
umeninyang'anya lesooo...o o o
ukawakubali wasio kufaa...
daima upendo wangu uwezi pata kwa mwingine...
nilizibiti hari ya kutamani pengine..
ila we mwenzangu ukajiona ndo mashine...
kidogo uwambiliki ata ukipapasa pengine...
kweli mapenzi ni upofu, na kwangu ayanifai..
Kweli wao ni jembe, sawa shuka wamnyang'anye masai...
sio hivyo tu, bali ulikuwa uwakatai..
na ndo maana ata mapenzi kwangu, ulikuaga uyadai..
verse 2
palipo na matesooo....oooh
daima mbele itakua furaha...
umeninyang'anya lesooo...o o o
ukawakubali wasio kufaa...