intro
MtupoaAfrica
poa music
Vipi kuhusu maisha ukiadithia yote yaliyo kusibu___
hayo maisha yamaseke
Kuangalia ulipotoka na ulipo ni vipi__
hayo maisha ya maseke
Kuna watu shida zetu aziwahusu
Yuda mabusu usaliti makali ya kisu
Unaforce issue
Kumbe ndio unaanzisha bifu
Cha kwako cha kwako cha kwangu ni cha kwako vipi
Unaambiwa ukweli kwenye utani na bado pimbi
Unaleta utani na hupambani kwenye ushindi
Usilete upanzi maisha hayana ujuzi
chorus
Mafanikio juhudi zako mwenyewe
Nguvu kifaranga majukumu mwewe ×2
chorus bridge
kuwa mpole kuwa mpoleeee eeh
Sawa pole sawa poleeeee ×2
Karata ya karma hairudi katu kuwa kitu
Kuwa na kitu katika watu ni mtu
Maana watu wa watu wengine wengi ni chatu
Sio kondoo ni mbwa mwitu
Ya kwangu uliza kiatu
Atua ni mara tatu
Mafanikio hayaitaji huruma
Mbele tembea nyuma sukuma
Chuma kwa Chuma
Ukiwa huna pesa kuna nguvu huna
Ata ukinuna Kuna mambo pia yatachuna
chorus
Mafanikio juhudi zako mwenyewe
Nguvu kifaranga majukumu mwewe ×2
chorus bridge
kuwa mpole kuwa mpoleeee eeh
Sawa pole sawa poleeeee ×2
Soma namba, komaa kama mwamba
Ng'oa nanga, chana anga kama upanga
Watasema mchana usiku watalala
Usiku pia awalali wako kwako wana wanga
Wape vidari wasusie na nyama
Bila roho mbaya pesa haina uungwana
tuelewane kwanza kabla kuungana
Kama sio mwelewa huwezi elewa hii maana.
.
chorus
Mafanikio juhudi zako mwenyewe
Nguvu kifaranga majukumu mwewe ×2
chorus bridge
kuwa mpole kuwa mpoleeee eeh
Sawa pole sawa poleeeee ×2
MtupoaAfrica
poa music