[Chorus]
[Choir voices]
Kuna nini kwa Uzinzi kitulazimucho kujikita kwao
Twaugua, twafa kila siku, lakini hatujifunzi
Mwili huu watusukuma kumghairi Mungu wetu.
Hebu tazama ujiulize ni kwa nini hatuelimiki
Nakujikinga na maafa yanayoua mwuli na roho.
[Verse]
[Female Vocal]
Kaondoka nyumbani kwa madai yakuhudhuria warsha.
Ndege akaabiri kwa nauli, sawa na kodi ya nyumba yake
Kashuka nakuimgia kwenye chumba cha malazi na binti yule.
Kishuka chao na kodi ya nyumba ni sawa na karo ya mwanawe
Na lakusononesha; ni mwisho wa mwezi
Na jamii yake ilifungiwa nje alipotoka kwenda kuzini.
[Verse]
[Male Vocal]
Bwana yule amelazwa hospitalini kwa msongo wa jasho
Ameugua akila nusu nakuweka nusu apatapo kila siku
Nywila na kadi kampa mkewe kutunza watoto wao
Huyoo kakimbilia rijali yule, kanunua shamba nakujenga.
Mumewe yuafa, sababu kafilisika
Na yeye kwa tamaa zake, ajiponza mwili kwa anasa
Ni nini alikosa hadi jamii yake iteseke hivi
KIFO, KIKO JIKONI MWETU
TUSIPOFUNGA NAKUOMBA,
Kwa ufedhuli twafa.
[Chorus]
[Choir voices]
Kuna nini kwa Uzinzi kitulazimucho kujikita kwao
Twaugua, twafa kila siku, lakini hatujifunzi
Mwili huu watusukuma kumghairi Mungu wetu.
Hebu tazama ujiulize ni kwa nini hatuelimiki
Nakujikinga na maafa yanayoua mwuli na roho.
[Chorus]
[Choir voices]
[Final Chorus]

[Guitar Solo]