Ooooh mwambie
Ua langu oooh
Tena mwambie
Kipenzi changu oooh
Nampenda kweli ninazidi kumpenda
Sitoweza kwenda mbali naye nampenda
Usiku silali simu zaita tupeane
Wala msijali Mimi kuwa naye
Oooh mwambie aliyesema
Ua langu ooh
Tena mwambie
Kipenzi changu ooh
Moyo wangu karatasi
Simzito ubebe
Mapigo yaenda kasi
Pindi ukinigusa napagawa
Tena mwambie jirani
Tumependana
Waache ufitini
Sie tunapendana
Ooh mwambie
Ua langu ooh
Tena mwambie
Kipenzi changu oooh