(verse)
Mwanzo penzi lilipoanza
Kuna watu walitabiri
Eti kamwe haliwezi kwenda
Penzi letu likafika mbali
Mwanzo penzi lilipoanza
Kuna watu walitabiri
Eti kamwe haliwezi kwenda
Penzi letu likafika mbali
(chorus)
Ona sasa
Wanahesabu siku, wiki, miezi kwenye kareeendah
Inapita miaka sisi bado tunapendanaaah