Hey
Asali wa moyo wangu
Kafunzwa bara, penzi kalipata eeh
Sio malaya kama hivyo mnavyodhania eeh
Mahabuba, kanitosha kwa mizani
Sauti nyororo nyoka natoka pangoni
Wapande juu wakazibe (wenye madonge)
Kama hawatosheki wape kamba (nawajinyonge)
Mi na we alfa na omega (wpende wasipende)
Nakwako nazidisha mapenzi (we unipende)
Hapa ninakosa mikwako mahututi nachechemea
Napatwa ukicha ukiwa mbali nami nateketea
Wewe ndio ukuta wangu naegemea
Ukija bomoka kipenze changu sintajifilia aah aah
Iyoyoyo iyo iyoyo
Iyoyo nabembaleza kamwali eeh (iyooh iyoyo)
Kamwali kanadeka deka (iyo iyoyo)
Haka kamwali kazuri eeh (iyoyo iyoyo)
Aah kazuri, aah kazuri
Niongeze mambo niwaumize wafe nachabo
Wakicheza taikodo siwachina tucheze judo
Mpenzi wangu mimi ongeza nyondo
Wakileta za mngambo si wachinga tusake mwendo
(Ooh oh)
Hasara roho hasara roho
Kwako najitazama nakufanya kioo
Mindoshamba lakoongeza pembejeo
Oh oh oh ooh
Ooh baby njoo ( ooh baby njoo)
Usiseme inatosha kalia ka-marioo
Nifunge kamba yako nisipatwe na mbio
Oh oh oh ooh eeh
Hapa ninakosa mikwako mahututi nachechemea
Napatwa ukicha ukiwa mbali nami nateketea
Wewe ndo ukuta naegemea
Ukija bomoka kipenzi changu sintajifilia aah eeh
Iyoyoyo iyo iyoyo
Iyoyo nabembeleza kamwali eeh (iyooh iyoyo)
Kamwali kanadeka deka (haha) (iyo iyoyo)
Haka kamwali kazuri eeh( iyooh iyoyo)