Maisha safi, asubuhi unakunywa chai na chati.
Mchana unakula wali na samaki
Muhuuni nakula Dona mishkaaki
Nikiamka asubuhi sipigi mswaki.
Wewe wakishua kwenu masaki,goo
Niko kwenye grind kila day me na shine
Mistari yangu safi kama gold ime-refine
Wana loss many money kila pay from the line
Hii game ni yangu bro, I claim as mine
Cheki mistari kama hii na flow
Kila Ngoma kali ninayotoa ni soo
Usilete utani dogo ntakukaba koo
Me mkali bhana huni wezi ng'oo,yeah!
Me sichekeshi,nakukata kama wanavyo kata keki,
Kila unachofanya kwako wee mistake,kama unaweza battle njoo unicheki looh,
Yaah yaaah yaaah yaaah!
Go! for tracking money I don't space for catch gun
Kuimba hujui usitukane
Zama kwenye beat njoo tuchane
Ntakupiga vichwa kama zidane
Leo umeingia kwenye kumi na nane
Raaah raaah raaah raaah
Kwenye kila Kona me ndo star
Ntakupiga Nako unanishangaa
nazisaka Hela siwezi kaa
Me natoka tanga sio wa dar yeah!!
Me ndo star wakitaa wananiita mashine
Wewe kichaa hunaflow Sasa njoo ujipime
Hembu vaa uwe star utaniweza pengine
Kwenye rap hii michano nahitaji wengine
Dooh!
Tunaondaka kama hivi uko mtaani mtiti
Dogo basi kaza au vipi
Utakuja upigwe miti,on fire ndo unishiki
Ngoma zako azisikiki,naskia unaongea shit
Mim Bado nakupiga kick