Kimburu ni dawa ya wengi...002 ndiko liliko chomoza...pigo lake sawa na nyundo pigwa kwa kifuwa...Engineer Aizooh mkono wa kulotso...Dj Mwabozi mzee wa rihaso..Hii ni miamba iloshindikana..Mc bafix kwenye maik ni kiboko anabonga kimichano huezi elewa .. Huyu Kenyan Kingpin anawazuguwa kwa michano vijana wakali ...moto tena nare
"Kimburu kinapaa..evry day kinapaa kinapaa kinapaa"
"Mombasa 001, kwale 002 mpaka kilifi 003 kinapaa kinapaa kinapaa"
Dawa ya mburumburu wengi wanaigiza, goma la masela usilete hisia kimburu kimeshindikana hivi nani anabisha..
Ukiwa mbele "unapigwa nayo" na ukiwa nyuma "Unalala nayo" dawa ya mburumburu tiba ya wote ..
Hard Rock Sound Kimburu dawa ya mburumburu, unataka sita ama tisa kwani huogopi risindo... Dj sam ,dj king area hivi vichwa vina balaa ..kimburu dawa ya mburumburu mkikutana lazima uburuzwe...