

Prompt / Lyrics
(Chorus) Yeesu,unionee huruma,hurumaa, mimi mwana wako nateseka,nateseka. Yeesu wangu,unisamehe yesu kristo,yesu kristoo, mimi mwana wako nateseka,natesekaa. (×3) (Verse1) Bwana yu nasi siku na nyakatu zote. Tulisifu jina lake kila pembe. Maisha yote tumwimbie,tumtukuze. Anastahili sifa na utukufu,nawahoji nyote. (Verse2) Niko haha bwana,yesu ee mwokozi. Naja mbele zako unioshe niwe msafi. Nitatimiza ahadi kwako ee Kristo Emmanueli. Kondoo wako nitawaleta wote kwako mwenye enzi. (Chorus) Yeesu,unionee huruma,hurumaa, mimi mwana wako nateseka,nateseka. Yeesu wangu,unisamehe yesu kristo,yesu kristoo, mimi mwana wako nateseka,natesekaa. (×3) (Verse3) Kila siku na mahitaji zetu hututimizia. Aliye juu ni yeye atufaaye na neema. Mkamdhamini maana Yesu anaweza. Yeye ana uweza pia ana mamlaka. (Verse4) Nakutazamia ewe Yesu,ewe mnyenyekevu. Nakuomba msamaha kwa dhambi zote zangu. Uniokoe na unikomboe ewe Yesu. Nalisifu jina lako mwana wa Mungu. (Chorus) Yeesu,unionee huruma,hurumaa, mimi mwana wako nateseka,nateseka. Yeesu wangu,unisamehe yesu kristo,yesu kristoo, mimi mwana wako nateseka,natesekaa. (×3)
Tags
blues
3:27
No
3/5/2026