[Verse1]
Kwamara ya kwanza nainuwa uso wangu
Ilikuwa ni kama ndoto kukuona mbele ya macho yangu
Japo ilikuwa ni ugum kwaupande wangu
But nikajikaza kukwambia uwe wangu
Ilikuwa ni inyonge na hofu juu yangu
Ira sikukata tamaa kulisubiri jibu rangu
Na siku nilipo kuwa na mishe zangu
Ukaufurahisha moyo wangu kwa kulikubari ombi rangu
Nashukuru kwa kukubari uwe wangu
[Chorus]
Umenitoa haibu
Umenipa furaha
Ukanipa kueshimika
Mbele za watu nijivunie upendo wakoumeufanya
[Verse2]
Acha nimpe pole ex alie dhani kanikomoa na kuniumiza
Kwa kudhani kuwa anamuuwa chura kwa kumpiga teke
Kumbe ananiongezea mwendo
Nakupa pole ex kwakunichimbia shimo ambalo umetumbukia mwenyewe
Ona me nanenepa, narishwa vitam pole ex
[Chorus2]
[Verse3]
Nakutuma njiwa kampe pole ex
Msalim mwambie beni wasasa sio wa zamani
Beni wa sasa hana kilio tena
Beni wa sasa ni full kicheko
Pole sana ex