Hapo mwanzo nilteseka sana maana sikuujua ukweli
Lakin siku nilipokutana na mtu mmoja akaniamby huo ukwel akisema osca ninazo habari njema za huyu yesu anaweza kuokoa na kuponya hivyo osca okoka maana ninaamin kuwa atakuponya na kuziganga jeraha zako
sikumuelewa kwa wakati huo lakin siku zilivokwenda nilpoamua kumpa yesu maisha yangu amebadilisha historia yanguuuu
Kwanza amenipa kufanyika mwanae hivyo na wewe usiogope maana yesu yupo kwa ajili yako yeye anabadilisha maisha alibadilisha ya sauli na akaitwa paulo na akawa mtumishi mkubwa
Hivyo muite tu hata uwapo katika mateso maana ukimuita ataitika huenda hujamuita
Kuna wakati niliugua nikamuita akaniponya na kunipa afya na ww muite tu soma neno lake muombe wakati wote atakusaidia na kubadilisha maisha yako