tuna ishi kwa fumbo kosa kidogo mwili ina pata fimbo wala hakuna bya ngambo muni sikiye Ndryno niongeye kwa wimbo
kwanza sitoke nyumbani mina kaa na mzazi bila utani nicha ogopa muta
mwanadamu si kama mungu apitiye raa naasahau machungu
duniya sikama bingu ata ukafa leo sahau kuona mbingu
chida zisi kulande uka sahau mungu sababu tu ya machungu wenzetu wame poteya kwaku kosa marifa naku amini miungu
*acha jehuri brother fanya kazi usiku kaja kaa nyumbani na wa zazi badili steli zako za ma kazi kata nywele brother usije katwa ngozi siku izi maisha fimbo eahh zaku tumbo oah
siku izi maisha fimbo eahh zaku tumbo oah
*wale walio nipenda niwa chache sana walio chukiya washa palangana washa jichanganya wana kosa yangu jina wengine kuni miss wanabaki kwenye vina maskini killers tajiri jinaze
penzi lina dunga ata kama laku tunga pana pori kubwa hapakosi sombe wana beba shamba na wana kupeya sombe nauna piga mikono iyo ni akili mbovu wakufanya kama uoni
mwanangu acha buyuma basiku lande kisha mwisho ubaki nyuma juwa mwanaume ni heshima uki jitahidi unaeza kupata eshima
intro: agama back babu ndrynooo