Nasinki much mpaka nafil bad kwasabb ya hiz hitikadi na ni rahsi kupata ledi kadi kwasababu ya hiz hitikadi,Ni hitikadi kuamini ahadi au kufuata maswala ya jadi,ni mwanga au ni mwanga wa radi,usije ukadakanywa na hitikadi ukahisi unahadhi kumbe wew ni mavi,je kuwa na mavazi malazi na kazi nzuri ni hitikadi????? To prey to the gadi mambo yawe gadi je ni hitikadi mana bila kukaza kazi haupati hata mavazi malidadi