(Chorus)
Usije ukawa warudi nyuma,usizame usikose nguvu na nguzo utende,uwe mbarikiwa.
Usife tamaa,usiende,kaa katika bwana,yu mwema siku zote.×3
(Verse1)
Saa ngapi,ewe mkristo,bwana yu anena nawe.
Mjenzi awe na samiti ajenge aside akawa mezembe.
Mwenye business awe pale mapema.Akazane apate faida ale.
Ee mola,mambo yepi huwa hayana maadili,tuyafuate yale yanayotufaa tuwe
na matokeo tele?
Ee Mungu baba,nishike mkono nisizame.
Kama Yesu alivyo mhimiza Petro aje juu akaelee.
Usifiwe mungu,utukuzike juu mbinguni hadi duniani.Mkono wako wa baraka utufikie.
Ee Mungu niwewe unayestahili utukuzwe.
(Verse2)
Yesu,wewe ni mwenye haki,hutupa sisi zote amani.
Matatizo ya dunia isiwe na simanzi kama mtima wajaa mwokozi.
Ee Mungu,wacha roho wako atawale nchi.
Upendo wa Kristo Yesu,twaipa nafasi.
Twakaribisha maishani mwetu,roho mtakatifu aingie nafsini.
Bwana,umetamalaki,kila mkristo,mtie nguvu na amani.
Ewe mweza yote,aliye gawanya bahari.
Wana wa Israeli walipita,musa akiwa nao hadi nchini ya ahadi.