(Chorus)
Mambo wasee,mimi hupendanga chapati na chipsiiii.Eeeeeeh!
Mambo wasee,mimi hupendanga mandazi na ndenguuu.Eeeeeh! Chakula day! ×4
(Verse1)
Ni ajee,wadhiii,mabeshte,kina ma friends my pals.
Munaonaje nikiingia tu hivi kwa hoteli na karaai?
Nahitaji kinywaji na githeri lakini waiter hakujiii!
Makaimati,mahamri,yaaani niko maobao wasee.
Ilikuwaje nikaaaitana madenge na plans zimetingwa?
Ilikuwaje nikichapa weera nahisi kama ninaduu mablunders?
Acha tu,ata kina waresh wa shule ya kmtc wamenipita tu,eeeh,aaaah!
Naskiza fiti tu nikiongea na waresh ,ghafla tu watu fulani wakatokezea,ati hawataki niwe na mresh ata mmoojaa.
Njaa za lunch,njaa za crunchy meals.Naskia kaa bila food itakua risto ingine tofauti.
Hehehehe.Nikicheki Instagram Betty Mtei anabonga of the same thing called Risto tofauti.
Ni blunder,kumeza ugali bila mboga,ni blunder kukula chapoo bila ndengu.
Chakula day!
Chorus)
Mambo wasee,mimi hupendanga chapati na chipsiiii.Eeeeeeh!
Mambo wasee,mimi hupendanga mandazi na ndenguuu.Eeeeeh! Chakula day!×4
(Verse2)
Nani hupenda wali,wali kwa pinsssiii?
Mimi hupenda pilau sometimes,sometimes kwa minced meat.
Unacheki Ibraa alinipromise,pilau nyama kwa wali.
Ngoma sio about sleeping,ni about kueleza what is making you not to be able to talk.
Nakaa msee wa madengee kwelii?
Aki mimi nakaa sijikai.Lakini mimi ni msee anapenda madem.
Madem huwa trained kupika vizuri,meals fiti,nikidishi meals nafeel fiti ikiwa imepikwa na mdeem !
Napenda smokies ,samosas na sausages.
Napenda maandazi ,mayai na machapaatii.
Ugali na mrendaa huwa inaslide,ikislide,inaslide just like that.
Acha tuongelee nyama,nyama na chapati kwanza ndio tamu.
Ile stew ya nyama na chapati!Heeeeh! Ni nzuri.
Chakula day!
Chorus)
Mambo wasee,mimi hupendanga chapati na chipsiiii.Eeeeeeh!
Mambo wasee,mimi hupendanga mandazi na ndenguuu.Eeeeeh! Chakula day!×4