Azam FC mmezingua
Hivi kwanini mmevunja Makubaliano, Mbona ilikuwa muwafunge Yanga tuchukue ligi na nyie mchukue CRDB Federation cup?
mmezingua sana, Ona Sasa kombe linaenda Utopoloni daah, Ewe Mwenyenzi Mungu naomba
ikikupendeza Yanga apoteze mchezo mmoja tu
ili sisi Simba tuwe mabingwa wa NBC Premier league.
Miaka mitano bila kombe , Inaumaa inaumaa inauma Sanaa
Nyie Azam Mungu anawaonaaa Jamani Inaumaaaa