The way you make me
Swing swing down
Baib i can't deny
You make me feel proud
Naka ni wimbo nitakutungia
Na sifa zote baib nitakumwagia
Weh ndo wangu baib malkia
Na hakuna siku nitakuja kukutania
Ooooooh
Nasipendi kuona ukilialia
Maana shepu na sura kabalikiwa
Na kwenye shindano la penzi katia gia
Hakuna siku watakuja kutufikia
Niiteni doctor love juh cheo nishawania
I give daily vaccination
Call me everday if you need my medication
Tonight I wanna pin you my location
Cause my D is waiting for your prescription
Lopez i just wanna express my love
Lopez i wanna sing for you
Jeylo can you be my sunshine
Baib wacha wajue weh ndo kiboko yao
Miaka nenda miaka rudi
Baib sitokuja kusema nenda
Wacha tuzeeke mi na wewe
Na wana tutafute me na wewe
Ooooh mungu kanishushia wangu malaika
Penzi ananipa kuwe na mwanga au giza
Hata heri nifufue wahenga ndo waniingeze tamthilia
Nataka penzi letu wakalishuhudia
Na wenye roho mbaya watazidi kuumia
Ooooooh
Lopez i just wanna express my love
Lopez i wanna sing for you
Jeylo can you be my sunshine