Chorus
☆Oooh my god oooh o my god nipe nguvu ya kupambana iwe usiku asubuh ama mchana
Oooh omy god☆
Ooh mung baba nione na mimi
Nimechoka kukaa nyumba za kupanga
Nyumba hazina hata mwanga
Vua ikinyesha kisanga
Kila demy uku anadanga
Kona zote unashikiwa mapanga
Verse 1
●Nimechoka kulia
Basi nifungulie njia
Na me nipate tulia
Kesho nikiwa na familia
Verse 2
Nipe na pesa na mali
Usisahau na magari
Nashukuru uzima ninao hali yangu ni shwari
Chorus
☆Oooh my god oooh o my god nipe nguvu ya kupambana iwe usiku asubuh ama mchana
Oooh omy god ☆
Bridge
Kutwa napiga magoti sina cha kufanya
Kimbilio langu lililobak ni maurana
Maadui wanajaribu Zima yangu nyota
Niishi maisha magumu wanapenda kuona nateseka
Me kutwa machozi tu hakuna kucheka
Wakiniona nina dunda wanatamani kunifyeka
Verse
●Nimechoka kulia
Basi nifungulie njia
Na me nipate tulia
Kesho nikiwa na familia
Nipe na pesa na mali
Usisahau na magari
Nashukuru uzima ninao hali yangu ni shwari