

Prompt / Lyrics
Chorus Yesu,unionee huruma,hurumaaa, mimi mwana wako nateseka,nateseka. Yeesu wangu,unisamehe Kristo,Kristoo. Mimi mwana wako nateseka,nateseka.(×3) (Verse1) Niko haha bwana,yesu ee mwokozi. Naja mbele zako unioshe niwe msafi. Nitatimiza ahadi kwako ee Kristo. Kondoo wako nitawaleta wote kwako. (Chorus) Yesu,unionee huruma,hurumaaa, mimi mwana wako nateseka,nateseka. Yeesu wangu,unisamehe Kristo,Kristoo. Mimi mwana wako nateseka,nateseka.(×3) (Verse2) Ninakutazamia ewe yesu,ewe mnyenyekevu. Nakuomba msamaha,kwa dhabi zote zangu. Uniokoe na unikomboe ewe yesu. Nalisifu jina lako mwana wa mungu. (Chorus) Yesu,unionee huruma,hurumaaa, mimi mwana wako nateseka,nateseka. Yeesu wangu,unisamehe Kristo,Kristoo. Mimi mwana wako nateseka,nateseka.(×3)
Tags
blues,acoustic guitar rhythm and acoustic guitar fingerpick sounds.Piano melody.
2:39
No
3/5/2026