Mama Nakupenda Sana, Mama I Miss You So Much, Mungu Akupe Pumziko La Milele One Day, We Shall Meet Again
Nakuombea Kila Siku Kwa Mungu, Akupe Pumziko La Amani
Maisha Yangu yamejaa Ukungu, Simanzi inatawala Moyoni
Wenzangu Wako na Mama Zao, Mimi Mama Yangu Yu Kaburini
Nakukumbuka Mama
Ulikuwa Nguzo na Kimbilio la Kudeka
Leo Haupo Peke Yangu Nateseka
Naona Kama Dunia yote inanicheka
God, Bling My Mama Back One Niwe Naye Kama Zamani