aaaaa, aaaa,asante babaa,
aaa aaasante munguu,
umeniumba napendezaa,
umenijaliaa na uhaiii,
ukanijalia na afiyaaa,
nikushukurujee ewe Munguuu,
nikushukurujee ewe Muumba,
nikushukurujee eww Munguuu,
nikushukurujee ewe Muumba,
uliumba mbingu na nchiii,
ukaumba wanyama wazuriiii,
ukaumba milima na mabondeee,
ukaumba mito na maziwaaa,
alafu ukaniumba na mimiii,
ukanituma nivitawaleee,
hata sasa wewe ni ebenezaaa,
hata sasa wewe ni mshindiii,
hata sasa wewe ni mfalmee,
hata sasa wewe ni mwokoziiii,
(babaa asanteee,
nasema tena baba asanteee,
nitakusifuu mimii,baba asanteee,
nifunulie memaa,baba asanteee,
nifungulie memaa,baba asanteee,
wafungulie walimu wangu,baba asanteee,
wafungulie wazazi wangu,baba asanteee,
wafungulie viongozi wa dini,baba asanteee,
na viongozi wa serikali,baba asanteeee,
wafungulie wagonjwa wote,baba asanteee,
wafungulie ndugu na majamaa,baba asanteee,
wafungulie na wafungwa ,baba asanteee,
wafungulie wazee na watoto,baba asanteeee,
wafungulie wote wenye shida,baba asanteee,
wafungulie walezi wote,baba asanteee)
asante sana babaa wa mbinguni ,
mimi mja wako mdogoo,
niseyeweza kufanya loloteee,
hapa chini ya juaa,
pasipo mkono wakoo,
nilinde na maaduii,
nilinde na maovuuu,
nilinde na masengenyoo,
nilinde na machocheziii,
nilinde na mabaya yotee,
asantee,asanteee, (asanteee)