(I see you~)×2
[Verse 1]
Light,
Kila nikutazamapo,(oh my my~oh na na)
Hai,
Moyo wangu wa geuka kwaajili Yako,
(oh aaaa~haaaaa)
Mapenzi ni ya wawili yani pair (pair)
Ukiongeza na mwingine hiyo drama,(drama)
Moyo vyumba vyake vyabeba mmoja tu,
(Moja mara Moja)
Hata sijiulizi kwanini umenipenda,
Nipo bomba natambua ila si decor,
Ila toka kule hadi sasa umebaki nami,
I'm just curious, silalamiki
This feeling is so fantastic,
[Pre Chorus]
Story hii mbali imetoka,
Mwandishi hot updates hajaandika,(haaah)
Wahusika wapya kuongezeka,
I'm so excited to know how it'll end
[Chorus]
Will it be happly ever after?
Au majinamizi kutawala?
Ule wao wivu kutumeza,
Hii ni yangu tu shauku,ila najua
Mapenzi si fairy tale,ila yetu ni exception,
Simanishi prince na princess,dunia yetu ni nyingine,
Si yale ya love and marriage,kesho hatujuani,
Hii ni something primitive,nafsi zimeconnect,
(aaaaah I see you,I see youuuuu)×2
[Verse 2]
Mapenzi na chuki, majaribu na ushindi,
(Yote yamo ndani ya hii novel)
Kwamba ipo thin line kati ya yote hayo
(Kuelewa hivyo somo)
Fight za hapa na Pale hutokea,
Misunderstanding kuchomozea,
Yaani ni chaos ukikosa busara,
[Pre Chorus]
Story hii mbali imetoka,
Mwandishi hot updates hajaandika, (hoouh~hooh)
Villains wapya bado kutokea,
I'm just so excited to know how it'll end (ha!)
[Chorus]
Will it be happly ever after?(aaaah)
Au majinamizi kutawala,(aaah)
Ule wao wivu kutumeza,hii ni yangu tu shauku,
haaaaa~ha aaaaa
[Bridge]
Zidi kuwa mwanga kwangu like a morning light,
Penzi ling'ae kulinda yetu dominion, alright?,
Mwandishi ana update chapter zinazofuata,
Pandora box now opened,baby are you ready?
[Chorus]
Will it be happly ever after?(hoou~hoouh)
Au majinamizi kutawala?(aaah)
Ule wao wivu kutumeza,(nanah)
Hii ni yangu tu shauku,ila najua,( ila najua)
Mapenzi si fairy tale,(fairy tale)
Ila yetu ni exception,(yeeah)
Simanishi prince na princess,
dunia yetu ni nyingine (aaah)
Si Yale ya love and marriage, kesho hatujuani,(eeee)
Hii ni something so primitive,(hoooh)
Nafsi zimeconnect, (nafsi zimeconnect)
(aaaaah I see you, I see youuuuu)×2
(Baby)×2
Whenever I close or open my eyes I see youh!