Verse 1
Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa. Tangu jangwa hili na mlima huu, Lebanoni, mpaka mto ule mkubwa, mto wa Frati, nchi yote ya Wahiti, tena mpaka bahari ile kubwa upande wa machweo ya jua, hapo ndipo patakapokuwa mpaka wenu.
(Bridge music)
Chorus 1
Ametupa kumiliki Bwana, Ametupa kumiliki Yesu
Hajawahi kushindwa na neno lake ni Amina
Alitenda anatenda atatenda (choir)
(Bridge music)
Verse2
Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha. Uwe hodari na moyo wa ushujaa,
(Bridge music)
All and solist
Amenirejeshea, kwa imani nafurahia ushindi amenipa
Ahadi zake zote kweli na amina
(Bridge music)
Chorus all
Ametupa kushinda Ametupa nafasi Ametupa kumiliki
Ametupa
Ametupa