Ghetto nimechill we uko kaunta unaikazia
Sio tu kwa phone mpaka meseji dandia
naunalia
Afu table glass kama mia
Ila naomba tu usije juta kwanini ulinipenda pia
You're mygal you're my gal dan dala
Inaniuma roho unavyosema haujala jaNa hiyo
Leo kichwa butu kwa mawaaazooo
I Regret love kwani kosa kurudia kosa
Vile niko hovyo tangu siku ulivyoondoka
Mpaka mwili unanikongoroka
You're everything i dream aboooout
Baby badi rudi mbona ka umepanga kunitesa makusudi
Me tena sitarudia dia na nimepanga tuimbe pia
Bailandoooo bailandoooo
Bailandoooo bailandoooo
Bailandoooo oo bailandoooo oo
Bailandoooo bailandoooo
Mana mara zote ninazokuona
Hata kama naumwa najikuta nimepona
Mana we kwangu dawa sio kwa booth mpaka ngoma
Mikaushoo mikali mwaisa na nyonyoma
Wangapi wangapi wasopenda kutuona
Tukiwa on mood unawasha me nachoma
Sio kwa sura tu mpaka body ilivyoshona
Wanaumia rooo nabaridi inawachoma
Wendomina kuelewa
mwenzakoniko solo shuti zagonga besela
Rudi lakusubiri
Kidani cha moyo wangu sina useelaaa
Baby badi rudi mbona ka umepanga kunitesa makusudi
Me tena sitarudia dia na nimepanga tuimbe pia
Bailandoooo bailandoooo
Bailandoooo bailandoooo
Bailandoooo oo bailandoooo oo
Bailandoooo bailandoooo