[intro]
yeah it's May Boy
singida icon
[chorus]
ukitazama macho yanajieleza
ningeufungua moyo ila sitoweza
niliapa kupenda tena sitaweza
ila kwa mapenzi yako we umeniweza anjela eeeee
anjela Anjela
Anjela anjela
anjela Anjela
Anjela anjela
[verse]
kila napokutazama anjela wee
jinsi ulivyo muzuri anjela wee
una vimacho vya gololi anjela wee
una kisura cha mudoli anjela wee
una ngozi laini mguu wa kimini
kipini ya pua ulimi kitovuni
umependeza anjela sogea wakuonee
ulivyong'aring'ari roho ziwaume anjela ee
[chorus]
anjela Anjela
Anjela anjela
anjela Anjela
Anjela anjela
ukitazama macho yanajieleza
ningeufungua moyo ila sitoweza
niliapa kupenda tena sitaweza
ila kwa mapenzi yako we umeniweza anjela eeeee
anjela Anjela
Anjela anjela
anjela Anjela
Anjela anjela
[verse]
waambie wazazi wajueee
umepata bwana wajuee
me sina janja janja waambiee
nitaleta posa nikuoee
umutima wangu anjela wee
nakupenda sana anjela wee
sio mawio sio machweo
sio jana wala sio leo
hii ni everdaaay
kila napokuwaza upo wapi
usingizi sipati
nayahesabu tu mabati
[chorus]anjela anjela
ukitazama macho yanajieleza
ningeufungua moyo ila sitoweza
niliapa kupenda tena sitaweza
ila kwa mapenzi yako we umeniweza anjela eeeee
anjela Anjela
Anjela anjela
anjela Anjela
Anjela anjela