Joe bana mnatenga tu
Kesho tumetenga pesa ya mzinga
Kesho tumetenga pesa ya vitisho
Kesho tumetenga pesa ya kuvuruga
Kesho tumetenga pesa ya uongo
Kesho tumetenga pesa ya kuwatoka
Tunatenga tu tunatenga tu
Chorus
Waongo mmatenga tu
Nyie ni waongo kazi ni kutenga tu
Tuongo mnatenga tu
Tuongo tuongo tuongo ×2
Verse 2
Kesho tumetenga pesa ya ku cheat
Kesho tumetenga pesaya kuwaosha
Kesho tumetenga pesa ya shiii na shaaa
Kesho tumetenga pesa ya kuwatoka
Kesho tumetenga pesa ya ule msee
Kesho tumetenga pesa ya kutenga
Tunatenga tu tunatenga tu
Chorus
Outro
Mnatenga hahahaha
Hadi za anasa walai
Nikutenga tu
Tunatenga tu