Siku kama ya leoo, mama yako alikuletaa,
kwa uchungu wenye furahaaa,
machozi ya furaha yalimtokaa,
hata ndugu na jamaa piaa,
hii leo umekuaa, siku yako washerekeaa..
bridge
enjoy your day
Sheila eeh
chorus
happy birthday
happy happy birthday
Sheila happy birthday
how older you are
verse 2
mmmh ni siku yako leoo, mremboo..,
ona keki yako ilivyo na mapamboo..
kata taratibu kwa mikogoo
kisha uwalishe rafiki zakoo
Tunda na wenzie wanafurahaa,
marafiki zako wote wamekujaa
Leo ni furahaaa, leo ni kuchezaaa
bridge
enjoy your day
Sheila eeh
chorus
happy birthday
happy happy birthday
Sheila happy birthday
how older you are
high pitch
iyeeeeeeeeee
enjoy Sheila enjoy
ni siku yako leo enjoy
happy birthday to you ×2