araten music now
nilijifanya mjanja
ninayejua viwanja
sikuaminii mimi
maneno yako baby
nilicho amini yakwamba
pesa ndiyo kilakitu oh!
hata ukiondoka wewe
nitapata mwingine
aiweewe
fikra zangu potofu
zilinipeleka pabaya
leo napiga magoti
nisamehe my baby
fikra zangu potofu
zimeniweka pabaya
leo napiga magoti
nisamehe my love
(chorus)
wewe ni wangu wa maisha
makosa nishajirekebisha
niamini ninachosema mi
mi naomba nisikilize mylove
mh!!! Eeee
( verse )
kama msamaha
nimekuomba mara ngapi
hadi leo nachunika magoti
nisamehe my love
mh! mhi!!!! yeah
kutenda kosa siyo kosa
kosa kurudia kosa
sitotenda my love
nisamehe mi wako babyyy
(chorus)
wewe ni wangu wa maisha
makosa nishajirekebisha
niamini ninachosema
mi naomba nisikilize mylove
my love
ooh mmh eh
yeah
araten music